|
SABBAT LYRICS
"African harmageddon" (1998 EP)
1. Black Fire (Swahili vesion) 2. Splatter '98
1. Black Fire (Swahili vesion)
Kimbia juuya mlima wa tambiko
Huna tegemeo kwa baadaye
Na waje wapate kuoga damu
Na waje wapate mabawa ya shetan
Ipate moto ya tambiko
Cheza, pata kichaa, piga kelele, sali
Duma ya endawazimu imbele yako
Na itatujia sisi
Ingia motoni
Sisi tunakimbia
Moto mweusi... Pata kichaa
Moto mweusi... Pata hivyo
Moto mweusi... Danci sasa
Moto mweusi... Motoni sasa
2. Splatter '98
|
|